Serikali ya Libya imeonya kuwa makabila yanayomuunga mkono Kanali Gaddafi huenda yakaingia kwenye vita dhidi ya wapiganaji mjini Misrata, hatua ambayo inaweza kupelekea damu zaidi kumwagika mjini humo ...
Hatari ya kufariki dunia vitani nchini Ukraine ni kubwa zaidi kwa wanajeshi kutoka makabila madogo kuliko Warusi. Wakati mwingine hata zaidi ya 10. Hata hivyo, wanajeshi wengi wa Urusi waliofariki ni ...
Viongozi kadhaa wa makabila ya Waarabu kutoka eneo la magharibi mwa Sudan la Darfur wameahidi utiifu kwa kundi la RSF, hatua ambayo wachambuzi wanaonya inaweza ...
Viongozi wa makabila ya kiarabu katika jimbo la Darfur magharibi ya Sudan wameahidi kuwa watiifu kwa kikosi kinachopambana na jeshi la Sudan cha RSF hatua ambayo wachambuzi wanasema huenda ikabadili ...
Kwa siku ya 8 mfululizo, mapigano yanaendelea mashariki mwa Syria kati ya Syrian Democratic Forces (SDF) inayotawaliwa na Wakurdi na makabila ya Kiarabu. Watu 20 wameuawa siku ya Jumanne, kulingana na ...