Wizara ya Afya katika Kaunti ya Kisumu, imethibitisha uhaba wa mipira hiyo, na kuwataka wageni wanaohudhuria mkutano huu kutotegemea kupata mipira ya bure. Gregory Ganda Kaimu Waziri wa Afya katika ...
Mwanamume mmoja katika jimbo la Machakos nchini Kenya ameshtakiwa na kosa la kufanya tendo la ngono na mbuzi wawili. Inadaiwa kuwa mwanamme huyo aliwaua mbuzi hao wawili baada ya tendo hilo ...
Mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kwa sasa unakabiliwa na uhaba wa maji kutokana na sababu kama vile mabadiliko ya hali ya hewa na vifaa vya maji kuzeeka. Video Producers: Njoroge Muigai, Azeezat Olaoluwa, ...
Watalaam hao katika utafiti wao, wanalaumu ongezeko hilo kutokana na taarifa potofu kuwa baadhi ya makahaba ambao wanatumia dawa za kukinga maambukizi ya Ukwimwi, wanaamini kuwa dawa hizo zitawaepusha ...