Usiku wa Tuzo za Tanzania Comedy uliofanyika katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Februari 22, 2025, ulijaa hisia tofauti kwani washindi walisherehekea mafanikio yao baada ya kushinda ...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kiongozi huyo wa kiroho pia aliongezewa damu ili kutibu tatizo la anemia lililomkumba.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kiongozi huyo wa kiroho pia aliongezewa damu ili kutibu tatizo la anemia lililomkumba.
Leo tumepewa ujumbe unaosema “Katika kila unalolipitia Mungu akuinulie mtetezi.” Mpendwa tunaishi katika dunia ambayo ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wasanii kuacha tabia ya kugombana badala yake wakae chini kuzungumza na kusameheana.
Kampeni ya Chadema ya ‘No reform, no election’ (Bila mabadiliko, hakuna uchaguzi) imeendelea kupasua vichwa makada wa chama ...
Dimpozi la kwenye shavu ni maarufu kwa kuleta tabasamu la kipekee na mvuto wa aina yake, dimpozi la kiunoni maarufu kama ...
Katika tuzo za wachekeshaji zilizogawiwa leo Februari 22, 2025. Mchekeshaji Dogo Sele ndio amezifungua tuzo hizo za Tanzania Comedy Awards zilizotolewa The Super Dome Masaki kwa ...
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere ameshinda tuzo ya kiongozi mchekeshaji Tanzania ‘Best Funny Leader Of The Year’ ...
“Kama Mbwai na Iwe Mbwai”. Hii ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Shaban Itutu kuelezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi ...
Hebu fikiria mtoto asiyeruhusiwa kufanya makosa. Kila analojaribu kufanya, anapodadisi mazingira yake, anakuwa anatafsirika kama mtoto asiye na nidhamu na adabu kwa watu wazima.